teh teh teh teh hayo mapicha yaweke utayarusha siku nyingine...Hali ya hewa ishachafuka bana.
Kwanza leo nilikuwa na hamu sana ya vibomu vya Mali na mi nikawa nimejiandaa na mapicha kibao.
Basi ngoja nipotezee tu. Tutakutana kwingine siku ingine maana hii ligi ni endelevu teh teh teh.
Sasa ukistaajabu ya NGABU utakuja ona ya MATOLA,
Ngabu anaponda sana nchi hii lakini his pops was an adviser to TOP BUREAUCRATS in Tanzania including Nyerere himself.
The father traveled a lot and the kid got a robust experience. teh teh teh and after asking i hear he had a very bad temper at a young age. He had a sennse of Belligerency in him. What a Brat.
Bwa ha ha ha ha ha ha....
Daaah yaani we jamaa nakuchora kweli yaani.
Sasa ndo nimeamini kabisa kuwa hujui kitu.
Lakini, kwa vile nina uhakika wa 110% kuwa hujui kitu ndo maana nakupa rukhsa hapa ya kumtaja huyo unayedhani ndo mzee wangu.
Halafu kwanza mzee wangu marehemu tayari.....sasa mtaje hapa hapa na watu wote wamjue.
Hahahaha utakapo kutana sehemu nyingine na siku nyingine waambie Chihuahuas wako wa backoff maana bila tahadhari utasabisha vita ....kuna Pitbulls wapo huku sema wako trained vizuri hivyo wanaweza kuwa obdient ,na sio kwamba hawawezi kuwa aggressiveHali ya hewa ishachafuka bana.
Kwanza leo nilikuwa na hamu sana ya vibomu vya Mali na mi nikawa nimejiandaa na mapicha kibao.
Basi ngoja nipotezee tu. Tutakutana kwingine siku ingine maana hii ligi ni endelevu teh teh teh.
He was growing up a CCM Chipukizi teh teh teh...Sasa ukistaajabu ya NGABU utakuja ona ya MATOLA,
Ngabu anaponda sana nchi hii lakini his pops was an adviser to TOP BUREAUCRATS in Tanzania including Nyerere himself.
The father traveled a lot and the kid got a robust experience. teh teh teh and after asking i hear he had a very bad temper at a young age. He had a sennse of Belligerency in him. What a Brat.
BTW Nyani Ngabu hivi ni kweli ulikuwa na bad temper ulivyokuwa yank?? Sasa kule Beach Comber Mzee alikokuwa anakupeleka ukiwa mdogo si uliwazamisha sana watoto wa kihindi na kizungu.. hehehehehe
Mali akili inashindwa kabisa kung'amua.. Japo nawajua watoto waliokulia UDSM on late 90's and early 2000's lakini huyu Nyani amekuwa mgumu kujua ni mtoto wa nani.. Nawakumbuka akina Peter na Deo ambao nao walikulia Mlimani na wako huko USA Baby..Haaahaaaaa. FisadiKuu bado hujamjua huyu jamaa tu?
C'mon aisee.
NGABUNOCCHIO, lies lies lies lies!
bwahaaaah bwahaaaaa sikujua kama wewe jamaa unaweza kwenda extra miles hivi daaah.
teh teh teh
Lakini wewe kuna mtu nakufananisha nae mahali... Na kule kwenye mitandao unatumia jina feki flani hivi la ki hip hop..Umeshindwa and I'm done mpaka utapokuja na jipya.
Deuces.
Mali akili inashindwa kabisa kung'amua.. Japo nawajua watoto waliokulia UDSM on late 90's and early 2000's lakini huyu Nyani amekuwa mgumu kujua ni mtoto wa nani.. Nawakumbuka akina Peter na Deo ambao nao walikulia Mlimani na wako huko USA Baby..
Hahahaaaaa yaani wewe bana,
Mshua wangu hajawahi kabisa kuwa mshauri serikalini.
Umechanganya madesa na hujui kama hujui.
Lakini wewe kuna mtu nakufananisha nae mahali... Na kule kwenye mitandao unatumia jina feki flani hivi la ki hip hop..
Nope, nope, nope, nope!
Sijachanganya hata kidogo mzeee.
Wewe kuna mambo huwa unayazidisha hapa kuhusu mshua wako na wakati hayapo hivyo kama yalivyo.
Unadanganya ili kupata legitimacy to what you speak.
Mosi ukasema mzee kasoma USA Tangu bachelor, huo ni wongo. Mzee kasoma UDSM first degree.
Pili,Ukasema Mzee hajasaidiwa na serikali, huu ni wongo Nyerere aliwaunganishia dili kusoma kupitia The Rockefeller Foundation.
Tatu, unasema mzee alikuwa Professor, huu ni wongo mzee wako alikuwa na PhD tu unaficha ili wasimjue tu. He's a professor by virtue of being a University teacher.
Nne, kuhusu kusoma USA ukweli tunaujua mimi na wewe na jinsi uanvyopindisha hapa.
Bwahahahahahahahahah teh teh
Nlitaka tu uje huku nikuweke kisu cha shingo leo.
Sasa UncleBen na FisadiKuu mkishindwa hapa basi tena
Mali akili inashindwa kabisa kung'amua.. Japo nawajua watoto waliokulia UDSM on late 90's and early 2000's lakini huyu Nyani amekuwa mgumu kujua ni mtoto wa nani.. Nawakumbuka akina Peter na Deo ambao nao walikulia Mlimani na wako huko USA Baby..
Lakini wewe kuna mtu nakufananisha nae mahali... Na kule kwenye mitandao unatumia jina feki flani hivi la ki hip hop..
Fiasadi ndio hajakuelewa tu Mali ,mimi nishamjua siku mingi sana ,Nope, nope, nope, nope!
Sijachanganya hata kidogo mzeee.
Wewe kuna mambo huwa unayazidisha hapa kuhusu mshua wako na wakati hayapo hivyo kama yalivyo.
Unadanganya ili kupata legitimacy to what you speak.
Mosi ukasema mzee kasoma USA Tangu bachelor, huo ni wongo. Mzee kasoma UDSM first degree.
Pili,Ukasema Mzee hajasaidiwa na serikali, huu ni wongo Nyerere aliwaunganishia dili kusoma kupitia The Rockefeller Foundation.
Tatu, unasema mzee alikuwa Professor, huu ni wongo mzee wako alikuwa na PhD tu unaficha ili wasimjue tu. He's a professor by virtue of being a University teacher.
Nne, kuhusu kusoma USA ukweli tunaujua mimi na wewe na jinsi uanvyopindisha hapa.
Bwahahahahahahahahah teh teh
Nlitaka tu uje huku nikuweke kisu cha shingo leo.
Sasa UncleBen na FisadiKuu mkishindwa hapa basi tena
Do I look like I've time for that??Mi late 90s tayari nshagonga 40.
Mangi unacheza wewe....teh teh teh.
Sasa fanya hivi...set me up.
Tafuta mdada aje ajigonge kwangu kwa lengo la kupata info zangu.
Ila sharti moja...lazima awe mzuri na lazima nimle.
Do I look like I've time for that??
Dude, like deep down nianze kuset off watu waniletee info zako??
One thing you should know big fella, not everyone that disagrees with you is your hater.. Sometimes huwa tunafanya haya tukikosa pesa ya kwenda kukaa baa kunywa bia, si unajua bongo walalahoi hatuishi kwa debit card..