Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,847
- 141,232
Wa aina hiyo anaweza kwenda na mtu mpaka kwenye chumba lodge/hotel or whatever the place na kudai hakujua nia ya jamaa.Kuna siku moja hivi nilikuwa sina hili wala lile. Nimekaa tu nyumbani naangalia dari, kuta, na sakafu za marumaru.
Basi nikampigia simu mshkaji kuona ana mpango gani kwa jioni ile.
Akasema 'Ngabu kwa nini tusiende Ramada tukajivinjari hapo?'. Nikasema poa. Nikaenda nikamkuta tayari keshafika yuko na wachuchu wawili.
Nikaagiza Pinot Grigio halafu nikajichanganya naye. Sasa nikawa nimevutiwa na yule binti mwingine, Janeth.
Nikaanza kupiga naye stori na mambo mambo. Sasa huhitaji kuwa mwanasayansi wa roketi za anga kung'amua kama nilikuwa nimemtamani. Hata yeye aliliona hilo lakini akawa anajishebedua tu.
Baadaye ndo akaniambia eti anataka nimtongoze. Nikapigwa na butwaa. Ina maana wakati wote huo nilikuwa simtongozi?
Kutongoza ndo kukoje kwani? Ni lazima useme maneno gani? Maana huenda hiyo sehemu ya mchezo mi bado sijaijua.
Wa aina hiyo anaweza kwenda na mtu mpaka kwenye chumba lodge/hotel or whatever the place na kudai hakujua nia ya jamaa.
Mpaka useme nimekutani twende tukalaleKuna siku moja hivi nilikuwa sina hili wala lile. Nimekaa tu nyumbani naangalia dari, kuta, na sakafu za marumaru.
Basi nikampigia simu mshkaji kuona ana mpango gani kwa jioni ile.
Akasema 'Ngabu kwa nini tusiende Ramada tukajivinjari hapo?'. Nikasema poa. Nikaenda nikamkuta tayari keshafika yuko na wachuchu wawili.
Nikaagiza Pinot Grigio halafu nikajichanganya naye. Sasa nikawa nimevutiwa na yule binti mwingine, Janeth.
Nikaanza kupiga naye stori na mambo mambo. Sasa huhitaji kuwa mwanasayansi wa roketi za anga kung'amua kama nilikuwa nimemtamani. Hata yeye aliliona hilo lakini akawa anajishebedua tu.
Baadaye ndo akaniambia eti anataka nimtongoze. Nikapigwa na butwaa. Ina maana wakati wote huo nilikuwa simtongozi?
Kutongoza ndo kukoje kwani? Ni lazima useme maneno gani? Maana huenda hiyo sehemu ya mchezo mi bado sijaijua.
Daaahh kweli bongo kwa ektin tu kiboko!demu unaweza kufika nae hadi geto ukimvua anauliza unataka kufanya nn?!hehehe ndo mana wanawake wengi huku bongo anaweza kukupenda na asiseme hadi mapenzi yanaexpire ndo anakuja kukwambia nilikuwa nakupenda sana!heheheh
Usipotongoza unawezaje kuitwa mwanamume? Mtongoze hapo mlikuwa mnapiga story
Mpaka useme nimekutani twende tukalale
Alitaka umdanganye danganye.. Kwamba unampenda ujaona mwingine zaidi yake, na Sex siyo lazima ila kama ukitaka nitafanya kwani baby utaninyima nikiomba?.. ha ha ha .. Na yeye ajibu Jamani wewe siku moja tu unataka wewe ha ha jamani huku akikulalia lalia mabegani.. Na kukutoa uchafu Wa uongo uongo
Umwambie utamuoa kiruuu
jamani fanyeni kazi jamani....mda wote mnawaza papuchi tu? mda wa kazi huu...ndomana zinapanda bei kila kukicha, madem wanapandisha bei,,,saa moja usiku angalau ndo tujadiri papuchi
Alikuwa Anamaanisha Anataka Umdanganye, Maana Kuna Baazi Ya Mademu Bira Kudanganywa Hawaendi.
Mkuu, wa kuambiwa hivyo atakuwa changudoa proper!Mpaka useme nimekutani twende tukalale