fanya mara 2.2 yake uletewe hadi ulipo.
Kaka fanya juhudi utapata hawa wote ni wale wenye vi ist ssa ukitaja mil. 4 wanaona umewadharau sana wao kuendesha gari ya Mil. 4
Mwenye nayo fasta kwa bei hyo
Ha ha ha
Inawezekana ni kweli eeh?!
Kaka fanya juhudi utapata hawa wote ni wale wenye vi ist ssa ukitaja mil. 4 wanaona umewadharau sana wao kuendesha gari ya Mil. 4
Kuna moja pale Ilala inataka 4m/ ilipata ajali huko kwao inabidi uinunulie pua(nose cut).