Nataka simu, nina 40,000/= Tshs

Nataka simu, nina 40,000/= Tshs

madiya85

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
282
Reaction score
65
Nna elfu 40, mwenye nokia X2-01, E71,blackberry nicheki 0755 914 977.
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwani lazima na wewe umiliki???
 
seriously lete 50 nikuuzie BlackBerry curve 9300 niko dsm. iko ktk HalI nzuri sana. call 0719397568
 
Nna elfu 40, mwenye nokia X2-01, E71,blackberry nicheki 0755 914 977.

Samahani mkuu unamaanisha simu hizi tunazotumia kwa ajili ya mawasiliano au neno simu ni neno jipya lenye maana mpya sijaelewa!

Km mi hizi tunazotumia kuwasiliana basi nenda kariakoo kuna nokia torch, itel nadhani ni km 22,000
Kuna tecno kuanzia 20,000-30,000.

Kama unamaanisha simu zinazotumia Android OS, Windows nadhani hiyo bei mtagombana na anayeuza simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom