Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.
Kwa nadra sana........

Wewe ushabiki wako kwa Jiwe huwa wakati mwingine umepitiliza.........

Wakati mwingine huwa unajifanya "kipofu" kwa yale ambayo sisi wengine tunayaona makosa ya wazi wazi ambayo huwa anayafanya Jiwe!
See!!

I knew it!

Huwezi kujadiliana nami kwa facts.

Na ndo maana umekula kona baada ya kukuuomba unitajie mada zangu 5 ninazompinga Magufuli.

Wewe na nyumbu wenzio mnachoweza ni kurusha maneno ya hisia na masadikiko tu.

Mkija kwenye mambo ya ukweli, hamna lolote.

I’m levels above y’all. Can’t touch me. Can’t catch me.

Dumb ass wildebeests.
 
Hii jf haitaki wakurupukaji, waropokaji, na wale wajuaji uchwara, huwa inawaumbua watu vibaya sana.
 
@Nyani Ngabu haya sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…