Nataka Rais Magufuli ashindwe

Status
Not open for further replies.

Mkuu, umeanza kuhamasisha au?

Unataka ashindwe wapi khasa, kuwa "specific".
 
Siku nyingine ukinywa pombe kunywa kistaarabu zita kughalimu mkuu,ya ngoswe mwachie ngoswe
 
Upo sahihi kaka kukosolewa ni sehemu ya kujifunza ukiona mtu hataki kukosolewa atakuwa na matatizo binafsi

Kila binadamu tunajifunza kwa kuambiwa na wengine wapi hapafai na wapi tupo sahihi hii ya kujifanya miungu watu anajiaibisha mwenyewe na taifa kwa ujumla
Mimi sipo tayari kuona taifa langu linadharirika kwa ajiri ya mapungufu ya mtu mmoja
 
Ninatokea kanda ya ziwa na magufuri ninamfahamu vema ni mtu mbabe sana hataki kushauriwa anachosema anataka kiwe ana act Mungu mtu.
Nilishawahi kusema hapa jukwaani asiyemjua magufuri ni nani na historia yake shida na mikwamo vitisho vitamfanya amfahamu.
Bado tuna wapumbavu wasio jielelewa wanafurahia hili.

Wakati mwingine mtu una kufuru kwanini Mungu ulinifanya nizaliwe ktk jamii ya namna hii
 

Poti,

Umeandika hii kitu umekasirika. Calm down bro. Magufuli akishindwa in Tanzania imeshindwa. Si yeye. Tutakaoumia ni sisi. We should always know Tanzania is bigger kuliko hasira zetu. Uhuru una gharama na bahati mbaya Max ndo amekuwa kafara. Na wengine watafuata.

Possibly members humu na kwingineko tuanzishe fund ya kuwatetea akina Max. In fact it is good ameenda mahakamani tutajua mbichi na mbivu.
 
Inawezekana kabisa wengi wetu humu tumeathirika na Viroba, kwa uchangiaji huuu sion staha na U great thinker zaidi ni Uhuni na Usela mavi au Kutafuta umaarufu wa vitu vya ovyo ovyo.
Watu wa aina yako ni wengi ktk Africa na Tanzania binafsi sioni shaka inawezekana upo kazini ni sehemu ya maisha yako.
Kwa kizazi cha aina yako Africa na Tanzania inahitaji miaka 10000 kufikia Dunia ya kistaarabu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…