Nataka package za mifuko ya plastic

Nataka package za mifuko ya plastic

GAGL

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
392
Reaction score
400
Wadau naomba kujua wapi nitapata packages za mifuko ya plastic nitakayoweka nembo yangu ya biashara. Pia Ningependa kujua na bei kama kuna atakayekuwa anafahamu. Email. gmwiga@yahoo.com
 
Mkuu Magee, unaweza kunipa address ya hao jamaa tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom