House4Rent Nataka nyumba au chumba

MALISA92

Senior Member
Aug 29, 2013
148
56
Nina uhitaji wa nyumba ndogo tu ya chumba kimoja, sebule na choo tu (self contained)..
mambo mengine ninayo taka ni kama vile ikiwa na mita yake ya umeme peke yake itakuwa poa zaidi..
Au pia kama kunapatikana chumba kikubwa vizuri na choo chake nayo pia ni sawa..
Pia ningependelea nyumba hiyo au chumba kiwepo maeneo ya UBUNGO, EXTERNAL, MAKONGO DARAJANI, MWENGE au SINZA
Mwenye nyumba kama hiyo au chumba anicheck PM bila kusahau kunitajia bei.
 
safi sana, ila ingekuwa jambi jema kama ungefikiria kujenga kuliko kupanga.

Kupanga ni ghalama mno siku hizi
 
Nyumba ninayokaa nakaribia kuhama, ipo sinza . ina vyumba vitatu , sebule na jiko na bafu na choo chake na mita yake pia . bei poa. Ukiweza nikuunganishe na mwenye nyumba bei poa kabsa
 
Nyumba ninayokaa nakaribia kuhama, ipo sinza . ina vyumba vitatu , sebule na jiko na bafu na choo chake na mita yake pia . bei poa. Ukiweza nikuunganishe na mwenye nyumba bei poa kabsa

Bei poa ndio shilingi ngapi mkuu
 
Back
Top Bottom