Kaka kuna server za lenovo zinaitwa ts140 ni dirty cheap na zina specs za ukweli. Bei zake zinarange 199usd hadi 250usd kwa version ya i3 na 4gb ram bila hdd (unaweka mwenyewe).
Bei hizo ni za nje, sijajua kama tz zipo ila kwa bei ya hiyo ya milioni unaweza panda ndege ukaenda nje ukanunua na kurudi.
Pia server unaweza tumia pc ya kawaida tu. Tafuta desktop za core 2 duo E8400 ni very powerfull pia ni cheap around 165,000 hapa tanzania then eka ram itayokufaa na hdd itakayofaa. Ina expansion slot kama 3 hivi kama utataka kuongeza vitu kama gpu