Nataka niwe na wake watatu

ANDREW JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
421
Reaction score
405
Kada mada inavyosema nahitaji kuwa na wake watatu niwapende ila lazima wazae watoto saba kila mmoja maana kikwetu tunaamini ukiwa na familia kubwa na uchumi unakuwa nyie mnaohangaika na mke mmoja utazani siti ya dereva kaeni hivyohivyo
 
Watoto Wengi Ni Mtaji Na Kukua Kiuchumi Ni Nchi Zilizoendelea Tu Kama Europe Huku Kwetu Majanga,utaongeza Idadi Ya Panya Road,watoto Wa Mtaani Et Al
 
Ww unaonaje ukioa watano kabisa yan saba Mara tano utapata 35, watakusaidia sana hao uzeen ambapo ujana wako uliangaika kuwalisha kuliko kuwasomesha wapate elimu bora
 
Sasa kama unataka hivyo unamwambia nani?
 
Kada mada inavyosema nahitaji kuwa na wake watatu niwapende ila lazima wazae watoto saba kila mmoja maana kikwetu tunaamini ukiwa na familia kubwa na uchumi unakuwa nyie mnaohangaika na mke mmoja utazani siti ya dereva kaeni hivyohivyo
Kwani hao unaotaka kuwaoa wapo huku?
 
Na wake zako watakuwa na wanaume 2 ili ukiwa zamu kwingine wasiwe wapweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…