Ilikua siku ya Jumapili tarehe 06/07/.2025 asubuhi, niliamka nikawa na kazi ya kufanya, tena siku hio sikwenda hata ibadani ili niweze kufanya BIDDING kufanya submission on time. Bila hata kuangalia balance ya bando nikajiunga tena kwa 1.4GB then sikuingia hata online, nikaendelea kufanya kazi, dakika kama tano au kumi nikapata sms kuwa bando imeisha, nikajua labda ni ile iliyokuwepo, kuangalia ni ile niliyojiunga na iliyokuwepo, nikatulia, nikajiunga tena kwa 1.4GB tena, the same, ikaliwa, nikawapigia customer care, wakanipa hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
Nikajiunga tena mara ya tatu, na yenyewe ikaliwa, sasa nikawa na 4.2GB kwa chini ya dakika 40. Nikawapigia tena, hapa ndio nikachoka kabisa, nikaulizwa unatumia simu gani? huenda ndoio manaa bando inaliwa, nikamtajia aina ya simu akasema ina support 5G kwahio nitakua nime-download bila kujua. Anyway, sikupata usaidizi wowote.
Matokeo yake, nimeshindwa kufanya submission kwa wakati, nimekasirika na kupata mfadhaiko na nimepoteza 1.4GB mara tatu (4.2GB) plus zilizokuepo........
kwa mazingira kama haya, siwezi kuwashtaki hawa jamaa? This is very painful. Naombeni ushauri tafdhali