Nataka nitupiemo video clip humu

Nataka nitupiemo video clip humu

njabo

Senior Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
193
Reaction score
28
Wakuu kuuliza si ujinga nataka nitupie clip ya video muongozo tafadhali.
 
"nitupiemo" ni mdudu gani huyo

BAKITA mpo wapi kishwahili kinaharibiwa namna hii?
 
Peleka facebook. humu ni kwa watu wenye fikra pevu. kama huwezikusema inahusu nni usiweke!
 
Back
Top Bottom