nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
Umenielewa nilishatubu mapema Sana.Hili ndilo tatizo. Watu siku hizi hasa wakristo wanaenda kanisani si kwa sababu wanaenda kuabudu au wanampenda Mungu ila wanaogopa kitengwa, wanataka tu wajisikie nao ni part of the community. Wanawaza nikifa sitozikwa, au nitakosa support nikipatwa na tatizo. Hii ndio sababu mchana kwenye mwanga wanajifanya walokole, gizani wazinzi balaa.
Ni kwa sababu kama mtoa mada hawamwogopi Mungu bali wanaogopa waumini na mchungaji asijue
Amina nitaanza.Na jumuiya uwanze mapema ,kumbuka utazikwa na jumuiya yao kama ni ya wala konyagi sawa!!!
Aminamrudie muumba wako
Asante kwa ushauri mkuu.We nenda tu,waeleze ulipata changamoto,sasa Mungu kakusaidia zimeisha unaomba kurudi kundini ,utapewa utaratibu na ibada itaendelea [emoji120]usimwogope mwanadamu,mwogope muumba wako pekee.
Unafiki upi?Acheni unafiki muende mbinguni
Huko alikoenda Zumaridi?Acheni unafiki muende mbinguni
Asante kwa ushauri mkuu.
Hahah kwahiyo umeokoka siyo? karibu kundini ndugu 🙏Hawa jamaa RC sina hamu nao nakumbuka waligoma kufungisha ndoa yangu kisa sijaudhuria kanisani na sijashiriki jumuiya kwa muda wa miaka 3.nikasema sio kesi nikaenda kwa walokole fasta tu ndoa ikafungwa
Mungu ni mwema nimeokoka ila bado mnywaji kiasiHahah kwahiyo umeokoka siyo? karibu kundini ndugu 🙏
😅Acha kabisa 🍺 ili uwe kamili gado 🙏 kwa Yesu Kuna raha.Mungu ni mwema nimeokoka ila bado mnywaji kiasi