Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,970
- 13,427
picha ya koka kola ndo yenyewe
halafu akae akinyooshea kidole tv......
nilijikuta teyari niko mjiniKwani kuna haja gani ya yote hayo??? Wewe mjini uliingiaje??
Habari zenu waheshimiwa,JPili inasemaje?kwangu ni mbona tu na nina mpango wa kwenda kupunga upepo pale beach.
Ni hivi nina ndugu yangu kaingia kutoka Mafia yaani bado mshamba kwelikweli sasa nilikuwa nina mpango wa kuanza kumchangamsha.
Kuna jamaa alinipa ushauri nimpige picha akiwa na pensi kashika chupa ya koka kola kubwa huku kaweka pozi ya dole tupu,nimpige picha mbili moja yangu moja yake kama kumbukumbu,kwahiyo akianza kujanjaruka niwe wala siuumii kichwa kwani naweza nikamuumbua kwa kutumia picha hiyo.
Binafsi nilikuwa nina mpango wa kumkabisha kwa mateja wamkatekate visu ila wasimuue halafu nimpeleke hospital akatibiwe akitoka ataanza kulijua jiji kidogokidogo.
Narudi kwenu marafiki zangu ambao ndio nyie,je plan hizo ni nzuri kuzitekeleza? au kuna njia nyingine mbadala za kumuingiza mtu mjini?
Basi muache na mwenzio ajikute tayari yupo mjini.... Kumpa shida zote hizo ya nini??nilijikuta teyari niko mjini
Habari zenu waheshimiwa,JPili inasemaje?kwangu ni mbona tu na nina mpango wa kwenda kupunga upepo pale beach.
Ni hivi nina ndugu yangu kaingia kutoka Mafia yaani bado mshamba kwelikweli sasa nilikuwa nina mpango wa kuanza kumchangamsha.
Kuna jamaa alinipa ushauri nimpige picha akiwa na pensi kashika chupa ya koka kola kubwa huku kaweka pozi ya dole tupu,nimpige picha mbili moja yangu moja yake kama kumbukumbu,kwahiyo akianza kujanjaruka niwe wala siuumii kichwa kwani naweza nikamuumbua kwa kutumia picha hiyo.
Binafsi nilikuwa nina mpango wa kumkabisha kwa mateja wamkatekate visu ila wasimuue halafu nimpeleke hospital akatibiwe akitoka ataanza kulijua jiji kidogokidogo.
Narudi kwenu marafiki zangu ambao ndio nyie,je plan hizo ni nzuri kuzitekeleza? au kuna njia nyingine mbadala za kumuingiza mtu mjini?
hufai kuwamo kwenye jamvi hili coz una mawazo mgando.
Utu hauna cha kujanjaruka mkuu, akija gundua ulimfanyia hivi makusudi utakuwa umeweka alama mbaya sana ktk kumbukumbu yake. Ipo siku naye anaweza kuja kumfanyia hivyo mtoto wako au mkeo au utakuwa umemfundisha nae aige hiyo tabia akiona maisha ya mjini magumu kama unavyoona sasa.
Kumtoa ushamba ni kama kumsomesha mtoto shule ya msingi, anaanza la kwanza taratibu mpaka la saba hapo ndio atapata elimu nzuri itakayo msaidia. Usimvushe madarasa, bali kuwa mvumilivu kadri anavyoendelea kujifunza taratibu
hahahahaha ina maana mie mchawi sio?mchawi sio lazima awe na tunguli.
Bac itanibidi nikimbie
hamna noma ngoja nichape kwataUtakuwa umefanya la maana.
hamna noma ngoja nichape kwata
wasalimiekwaheri
hahahahaha ina maana mie mchawi sio?
itawezekana vp eti ndugu yako umuitie watu wamchanje viwembe?kama sio uchawi ni nini? hilo la picha ninge kusupport.