Nataka nikope Bank. Biashara gani itaniwezesha kurudisha mkopo haraka?

Sasa mkuu si ukakope wewe uvifanye?
Maana hakuna kufeli au
2M ni pesa ndogo sana kufanyia biashara ,jipige pige ukope hata 10M uje nikupe wazo la biashara na location pia naku pointia .

Maana frem hiyo location wanapangisha 600,000/= kwa mwezi na mwenyewe anataka malipo ya mwaka sababu hakai Tz sawa na 7.2M ikibaki 2.8M ni kwa ajiri ya biashara.

Nakuakikishia hiyo 10M ndani ya mwezi inakuwa isharudi yaani hakuna kufeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh mkuu mimi siyo mtaalam sana wa buashara lakini hii ngumu kumeza ....yaanu frem nikipe m7 na mtaji m2 hapa naomba msaada wa kimawazo zaidi umeniacha gizan

Biashara ni location hata huwe na mtaji wa billions ukikosea kupoint best location hiyo biashara lazima ife.

Unachukua Frem pale k/koo wanapangisha 600,000/= kwa mwezi pale Frem wanalipa kwa mwaka boss
(Miezi 12) jumla 600,000× 12 =7.2M
Kijijini kama Kyela Mbeya kwa kina Mwakyembe mchele 1kg =1000 mpka 800 wakati wa mavuno.ukiwa na 2M unapata (2,000,000÷1000)=kg 2000
Gawanya kwa 100kg unapata viroba 20 vya 100kg.ikifika kipindi cha Michele umeadimika unaanza kuuza Michele wako kwa 2000 mpk 2300 kwa Dar.k
Hachana na Habari za kununua Michele kuna njia za kijanja za kupata Michele bila kununua kabisa,hiyo mbinu siwezi kupa hati hats kidogo coz ni km kutapeli mkulima sio kitu kizuri,ila wakulima wanaona poa Tu its a kind of barter trade
 
Back
Top Bottom