Nataka nikasome Tour Guide (short course)

Nataka nikasome Tour Guide (short course)

Bless21

Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
71
Reaction score
92
Ebhana eeh nimekaa hapaaa kitaaa nimepata msaada wa kupelekwa shule nikasome short course ya Tour guide japo hiko chuo kinatoa piaaaa issue za hotel management na mambo mengine nilichokipendea chuo kimetangaza kinataftia vijana AJIRA kabisaa baada ya kumaliza nimeona hii ndio fursa nzuri kwangu na mimi kufanya kitu ninacho kipenda kwa sasa

Comment zenu wadau? Mshahara wake ukoje ntaishi kidg ?
 
Tupe jina la chuo,unataka kwenda peke yako kaka ? Leta habari kamili na sisi twende
 
Back
Top Bottom