Nataka nijifunze Adobe Aftereffect na Photoshop CS6

mtemi tagallah

Senior Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
101
Reaction score
57
Habari zenu? Ndugu zangu mimi napenda sana kuwa mjuzi na mbobezi wa Adobe After effects katika kutengeneza video introduction na video editing pia napenda niwe mjuzi katika Adobe Photoshop C6 ili niweze kudesign na kutengeneza matangazo, posters, brochure, hata kuedit picha.

Nachojua Katikati Adobe Photoshop ni kuinstall na kufanya cracking ikiwemo kuchange background ya picha na kutengeneza posters au brochures kwa ujanja ujanja, Nifanyeje ili niwe mbobezi wakuu??
 
  • Thanks
Reactions: J C
Cha kufanya
-Tafuta tutorial nyingi, zipi youtube
-Fanya mazoezi ya kutosha
-Tafuta articles zinazoelezea namna ya kutumia adobe
N.B
Mtandaoni kuna kila kitu kuhusiana na adobe kwahiyo ukisubiria mtu aje akufunze tena bure itakuchukua muda sana. Ukumbuke kuna watu walitumia ujanja ujanja huo unaosema na leo wapo vizuri tu.
Nakumbuka nilikuwa sijawahi kutumia excel kbsa hata kanuni za humo sizijui, niliingia google na youtube nikamaliza kazi mpaka leo nipo vizuri.
Hakikisha kila siku unacheza na hizo software kadri unavyotumia ndivyo utapata mautundu mapya.
 
john impact aka john morrison aka john mundo,
 
Ahsante sana mkuu
 
ila mkuu unatakiwa ujue kipaji pia kinachangia, kama unaweza kufanya mambo yote kucrop, kuresize, kudraw shape mbali mbali etc unatakiwa tayari ujue kuchora. kama unajua kutumia software kila kitu na still huwezi toa output nzuri ujue kipaji kinamiss hapo. na kama huna kipaji alternative yake ni kujifunza kwa nguvu, angalia tutorials nyingi, kariri moves nyingi mpaka utaweza.

angalia hii tutorial,
How to Draw a Realistic Mobile Phone with Photoshop
 
Ahsante Sana Chief, nitafanyia kazi ila kuchora nipo vizuriiii
 
Habari zenu? Ndugu zangu mimi napenda sana kuwa mjuzi na mbobezi wa Adobe After effects katika kutengeneza video introduction na video editing pia napenda niwe mjuzi katika Adobe Photoshop C6 ili niweze kudesign na kutengeneza matangazo, posters, brochure, hata kuedit picha.

Nachojua Katikati Adobe Photoshop ni kuinstall na kufanya cracking ikiwemo kuchange background ya picha na kutengeneza posters au brochures kwa ujanja ujanja, Nifanyeje ili niwe mbobezi wakuu??
Kwa After effect wacheki hawa jamaa wana tutorials kali kinyama wanaitwa Tara Arts sasa wacheki youtube kwa Tara arts Movie
 
Habari zenu? Ndugu zangu mimi napenda sana kuwa mjuzi na mbobezi wa Adobe After effects katika kutengeneza video introduction na video editing pia napenda niwe mjuzi katika Adobe Photoshop C6 ili niweze kudesign na kutengeneza matangazo, posters, brochure, hata kuedit picha.

Nachojua Katikati Adobe Photoshop ni kuinstall na kufanya cracking ikiwemo kuchange background ya picha na kutengeneza posters au brochures kwa ujanja ujanja, Nifanyeje ili niwe mbobezi wakuu??

Mkuu nahitaj ujuzi wa ku crack.. unanisaidia vp.?
 
Habari zenu? Ndugu zangu mimi napenda sana kuwa mjuzi na mbobezi wa Adobe After effects katika kutengeneza video introduction na video editing pia napenda niwe mjuzi katika Adobe Photoshop C6 ili niweze kudesign na kutengeneza matangazo, posters, brochure, hata kuedit picha.

Nachojua Katikati Adobe Photoshop ni kuinstall na kufanya cracking ikiwemo kuchange background ya picha na kutengeneza posters au brochures kwa ujanja ujanja, Nifanyeje ili niwe mbobezi wakuu??
Nenda youtube pakua tutorial za kutosha endelea kujifunza.
 
Habari zenu? Ndugu zangu mimi napenda sana kuwa mjuzi na mbobezi wa Adobe After effects katika kutengeneza video introduction na video editing pia napenda niwe mjuzi katika Adobe Photoshop C6 ili niweze kudesign na kutengeneza matangazo, posters, brochure, hata kuedit picha.

Nachojua Katikati Adobe Photoshop ni kuinstall na kufanya cracking ikiwemo kuchange background ya picha na kutengeneza posters au brochures kwa ujanja ujanja, Nifanyeje ili niwe mbobezi wakuu??
Nenda course fupi ya Graphic Design pia tazama sana YouTube Tutorial kutoka kwenye channel nzuri utaziona tu jinsi zinavyo fundisha. Nafanya mazoezi kwa wingi always practice make perfect. And always stay creative
 
Back
Top Bottom