Gari gani hilo?Nauli Ni Tsh 35,000/- hadi Singida
mkuu hiyo igunga inapatikana singida maeneo yapi?Nauli Ni Tsh 35,000/- hadi Singida/Igunga, Guest house/Lodge/hotels zipo za kumwaga Ila nzuri Ni mbali kidogo na stand kuanzia 10,000/- hadi 500,000/- uwezo wako tu, chakula utakula unachotaka, vinywaji Kama kawa!!!!
Karibu sana mgeni mtarajiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa, asante kwa taarifaSingida singidani Kuna watoto weupe Kama wema safari njema
Asante kwa maelezo ya kina, umbali upi? Kama km ngapi kwa sababu nataka nifikie guest mzuri ambayo haiko mbali sana na stand.Nauli Ni Tsh 35,000/- hadi Singida/Igunga, Guest house/Lodge/hotels zipo za kumwaga Ila nzuri Ni mbali kidogo na stand kuanzia 10,000/- hadi 500,000/- uwezo wako tu, chakula utakula unachotaka, vinywaji Kama kawa!!!!
Karibu sana mgeni mtarajiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu, nategemea msaada wenu unajua ugeni nap ili nisiwe mshamba sana kwenye mji wa watuGari gani hilo?
Nauli ya Dar - Singida ni TSH 33,000/= kwa Gari la ABC Upper Class na JMC Express.
Hizi ndio gari nzuri na zinazoaminika kwa usafir salama.
Muda wa kufika ni saa 12 jioni.
Gari gani hilo?
Nauli ya Dar - Singida ni TSH 33,000/= kwa Gari la ABC Upper Class na JMC Express.
Hizi ndio gari nzuri na zinazoaminika kwa usafir salama.
Muda wa kufika ni saa 12 jioni.
Asante kwa maelezo ya kina, umbali upi? Kama km ngapi kwa sababu nataka nifikie guest mzuri ambayo haiko mbali sana na stand.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, inabaki maamuzi yake kwa sasaDar lux mkuu, nalipenda na nauli yake Ni hiyo akishukia Sgd au Igunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la kheriAsante sana mkuu, nategemea msaada wenu unajua ugeni nap ili nisiwe mshamba sana kwenye mji wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta hela bwana acha kusumbua watu .Wadau, naomba msaada wenu kwa wenye uzoefu wa kwenda Singida. Sijawahi kusafiri kwenda mkoa huo na ninataka kusafiri mwanzoni mwa mwezi wa Marchi mwaka huu.
Ninaomba kuelekezwa mambo yafuatayo ili niweze kupanga bajeti yangu vizuri.
1. Nauli kutoka Dar Hadi Singida igunga,
2Gharama za malazi guest shilingi ngazi na zinapatikana karibu na stand?
3Nitafika saa ngapi nikitoka Dar saa kumi na mbili au saa moja asubuhi
Nitashukuru Sana kwa msaada walau na mimi nifanye ziara ya siku mbili katika mikoa hiyo maana napasikia tu na sina uzoefu wa kusafiri safari ndefu, kwa hiyo itakuwa safari yangu ya kwanza.
Asante kwa muda wako na msaada wako
Mdau wa jamii forum
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukijibu kwa ustaarabu utapungukiwa nini? Kama huna muda kaa kimya tu. Hela ninayo elewa madaTafuta hela bwana acha kusumbua watu .