Nataka nianze biashara ya kuchora katuni

Nataka nianze biashara ya kuchora katuni

Cartoon zako mbaya kama nyuma ya Fridge
 
Hivi Masoud au Said Michael hawana Master class wasaidie Chipukizi kama hawa?.
 
We Jamaa unataka uanze kulipwa hata kabla hujawa Mchoraji Mzuri.
Sanaa inahitaji Ubunifu na Upige tizi sana
We jamaa hapo sikua serious kihivyo natakaga kuwa serious lakini ishu ni kwamba nitatengeneza hela kuchora sio ishu kubwa
 
Mbona kutumia application ni raisi tu unachora kwa mkono hafu unazimaalizia kwa app au software
Ningepata vifaa vyote mbona Tanzania nzima ingenijua [emoji56] ni vile tu sina vitu hivyo ndio maana natumia mkono... Si subiri kuandikia wino uku mate ninayo [emoji4]
 
Ningepata vifaa vyote mbona Tanzania nzima ingenijua [emoji56] ni vile tu sina vitu hivyo ndio maana natumia mkono... Si subiri kuandikia wino uku mate ninayo [emoji4]
Mbona mm natumia simu
 
Back
Top Bottom