mbusage
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 447
- 121
utakuja kuunguza nyumba eti
jamaa angeunguza nyumba eti aahMwisho wetu sisi Rice Cooker.. huyo jamaa sijui anataka kukaangaka kitu gani,,, Mambo yana wenyewe hayo hahahahah...
jamaa angeunguza nyumba eti aah
Sijakuelewa,-- unataka mume anayejua kupika au unataka mpishi mwanaume?
hebu mueleweshe huyo jamaa hapo juu mkuuAnazima moto wa Gas kwa mdomo.. jamaa ana hatari!!!
Kila nkikuona mi hoi.
Sijakuelewa,-- unataka mume anayejua kupika au unataka mpishi mwanaume?
Mimi naweza vyote ila naogopa kwenda jelahebu mueleweshe huyo jamaa hapo juu mkuu
Haisee.. sawaAnataka Mume... Interview jikoni. Anapokea Application kwa sasa....
kama hana hela atapika nini sasa?mwenye pesa je?
utakacho nunuakama hana hela atapika nini sasa?