Nataka mwanamke aliyenizidi umri

Nataka mwanamke aliyenizidi umri

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,549
Nataka mwanamke ambaye ananizidi umri,mimi nina miaka 32,nataka mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 30 hadi 48.

Maana kama ni maisha atakuwa amejifunza vya kutosha nitamlea vya kutosha na kunako 6 to 6. Mimi ni mzima ninagegeda hasa,hata tamani kugegedwa nje,mwanamke mwenye kipato anapewa kipaumbele sana.

Karibuni pm
 
Heheheee...Umenifurahisha hapo uliposema mwenye kipato atapewa kipaumbele..!!
 
Wewe sema unatafuta mume, acha kuzunguka mbuyu.
 
Tafuta kwa bidii utapata acha tamaa mtoto wa kiume, "kipato atapewa kipao mbele" mmh kaz unayo kijana?
 
Kipao mbele ni kipato wewe je mbona hujaspecify upoje!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom