sijui nitafanyaje kwa kweliKama ulikuwa na uhusiano na mwanamke kwa lengo la kuzaa naye watoto,lkn Mwaka unakatika huoni hata dalili ya ujauzito na umegundua kuwa alitoa ujauzito wa mwanaume mwingine kabla hujaanza naye wewe utafanyaje na wewe uko fiti?