Nataka mke

Kwa dizaini hii hupati ng'oooo labda ujifunze kujielezea.
 
Nenda Ambiance na Njia ya kutokea Big bon sinza hadi kwa Kakobe mida ya usiku utakuta wake kibao ujiopolee wa kwako rafiki.
 
Kafundwe mbinu za kupata mke. Huko siko labda unafurahisha ukumbi tu
 
Waliozaliwa na wanaoendelea kuzaliwa washa wahiwa wote,Labda umchonge wako.
 
jamani kwani kupata mke kuna mbinu? si watu wakionana na kupendana wanaoana, mkuu akuna cha mbinu wala nini kwanza nauhakika mpaka sasa simu yako iko bize sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…