njia ya kitaalamu Ni kumeona daktari wa meno. Ila kuna njia mbadala na nafuu.. Tukua kijiko kimoja cha bicarbonate au baking soda (ile wamayotumia kutengenezea maandazi) inauzwa 500 kama sijakosea kwa kipact kimoja. Changanya kijiko cha baking powder na ndimu au limao na ukoroge mpka iwe nzito kama dawa ya meno. Baada ya hapo tumia mswali mpya anza kusugua meno kwa iyo solution ulioitengeneza.
kwa majibu sahihi, tumia njia hii mara moja kwa week. Ukifanikiwa lets majibu hapa. Mimi ni mnufaikaji ya hii njia