Nataka Mark X ya kununua

mkuu haya madude yana bei sijawahi kuona yamepungua 15m labda vumilia sana unaweza kupata mtu aliyefilisika

Hajasema anataka Mpya anataka kununua kwa Mtu Mna Mpya ni Mil 15 ina maana iliyotumika itakuwa less than hapo
 
Usipoteze muda.
Hata huku Zanzibar ambapo bei ni rahisi ya zamani hupati kwa bei hiyo.
Zichange kwanza,halafu ujue kubaki nahela ya Reseve,ikiharibika hii huwa hakuna msalie.Kama ni hela za kuungaunga itakutia umaskini vile vile
 
Leta 12M upate nyenye plate No C.
Bado ipo kwenye Fomu.
1464007097296.jpg
1464007112761.jpg
1464007133282.jpg
1464007143859.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom