Nataka kwenda Nchini Yemen

Nataka kwenda Nchini Yemen

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,624
Habari zenu waungwana,nina mdogo wangu anatarajia kwenda kimasomo nchini Yemen,Napenda kufahamu mazingira ya huko Yemen,je hali ya kiusalama ikoje
 
Habari zenu waungwana,nina mdogo wangu anatarajia kwenda kimasomo nchini Yemen,Napenda kufahamu mazingira ya huko Yemen,je hali ya kiusalama ikoje
Hueleweki mzee ni wewe au mdogo ako?
 
Nadhani huwaelewi Washihiri wewe, ni makatili Sana na sehemu inayopakana na Africa haina mamlaka yoyote ya kiserekali
 
Habari zenu waungwana,nina mdogo wangu anatarajia kwenda kimasomo nchini Yemen,Napenda kufahamu mazingira ya huko Yemen,je hali ya kiusalama ikoje
mwambie R.I.P in advance
 
Mwambie kuna jua kali sana seruni ndio vazi kuu huko na majabali mengi sana. pia nyumba zao za udongo kama wamasai ila zipo imara na za kisasa sana. mwambie aniletee mirungi na big G😉🙂
 
Nadhani huwaelewi Washihiri wewe, ni makatili Sana na sehemu inayopakana na Africa haina mamlaka yoyote ya kiserekali
Inamaana kiusalama siyo pazuri cyo,na ukatili wao ni kwa raia wageni ama
 
Ah Mwambie aende tu Watu wapungue Bongo... ameula huyo mkuu... Hongereni...

Mwambie aje Pemba nimuuzie Jini la Kumlinda
ameula kivipi tena,ni kimaisha ama
 
Wamerudi kisa nini
Mkuu Mazina, usiogopeshwe na maneno ya kike...!! kama mdogo wako dume aende akapambane na maisha.. Matatizo yaliyopo ni minor cases!! lakini elimu ipo na ilm ipo yani (Dini na Dunia) halafu kama anajiweza kuna kazi zakutosha katika ujenzi na ufundi !! Tatau currency yao ipo juu kuliko nchi za KiAfrika!! zaidi tu asiwe na tabia ya uzinzi au kufuata wanawake, tahadhari WATAMMALIZA tu !!

nne atajifunza ustaarabu wa kimataifa, maana kuna waAsia wengi na wachina na waarabu mbali mbali... akichanganyika nao atajifunza kazi za mkono na uboreshaji wa nakshi.... !!

Kama ni hali ya nchi.. mbona hata Nigeria kuna vita, iraqi kuna vita lakini maisha yanaendelea..
Mwambie akishindwa aje huku Dubai tutamsaidi mtanzania mwenzetu.

kivava tozi25 Ghulaam MZAWA JF bopwe Nyie acheni uongo.
 
Back
Top Bottom