Nataka kuweka Video kwenye youtube

Nataka kuweka Video kwenye youtube

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,244
Reaction score
745
Nina CD inayomuonyesha Sheykh Faridi mwenye kongamano lilofanyika Arusha akihutubia na kuwaahidi waislamu kuwa wao wanakwenda Zanzibar kuuteketeza Ukristo. Mwenye utaalamu naoma anisaidie.
 
Namwomba mod Invisible apeleke hii thread jukwaa la Science, Technology &Gadgets.Kule wataalamu ni wengi na hawaingiii huku kwenye mastress mengi.
 
Last edited by a moderator:
1. Fungua email ya gmail, nenda google.com/gmail au google.co.tz/gmail
2. Tumia hiyo hiyo email address, nenda youtube.com, upande wa juu kulia utaona kitufe kimeandikwa upload, bonyeza na uandike email na password yako ya gmail na u-upload, ni bure hulipi kitu, ukimaliza share na sisi.
 
Nina CD inayomuonyesha Sheykh Faridi mwenye kongamano lilofanyika Arusha akihutubia na kuwaahidi waislamu kuwa wao wanakwenda Zanzibar kuuteketeza Ukristo. Mwenye utaalamu naoma anisaidie.

iwekee na subtitle kama vp...my take#nahisi huu ni uchochez
 
aisee toa nakala pia ya hiyo CD yako weka ushahidi kwenye laptop yako baadae iwe ushahidi mzuri sana
usimwambie jirani yako asije kukusemea wakaja hao washenzi wakaichukua au kukudhuru kuficha ushahidi
 
Tunasubiri hiyo video tuwajua Magaidi wasiojua hujuma za kigaidi wanajipekeka tu wakitegemea kulindwa na serikali ya kiislamu!...
 
Back
Top Bottom