Joel Johansen
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 242
- 319
asante mkuu. ntafanyia kazo ushauriNenda kwa watu wanaochora tattoo mala nyingi huwa wanafanyaga . Sonara sina uhakika sana
Nakujibu bila kuangalia ID yako kwakuwa nikifanya hivyo naweza kushindwaWakuu,
Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha, na bei yake ni kama sh ngapi? Pia ningependa kujua huwa kinawekwaje na pia kama kuna side-effects zozote.
Asanteni.
Unaenda kweny maduka ya masonala watakutengenezea unachohitajWakuu,
Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha, na bei yake ni kama sh ngapi? Pia ningependa kujua huwa kinawekwaje na pia kama kuna side-effects zozote.
Asanteni.
yupo arusha au dar mkuu?Fika maeneno ya Stephen tattoo, au websites BMEzine.com
Ni mzungu anachora tattoo na kuweka vipini. ( piercing )
Anaitwa SHANNON LARRAT.
mtafute mkuu.
Chuga amekuja kuvisit... Ni mgeni ndo maana anauliza hayo makitu!!Amesema ni Arusha
Najua baadaya hapa utakuja kutuuliza hivi kile kipini cha pua wanawekaje na kina madhara yoyote!!!???Wakuu,
Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha, na bei yake ni kama sh ngapi? Pia ningependa kujua huwa kinawekwaje na pia kama kuna side-effects zozote.
Asanteni.
Mkuu wewe ni "ME" kweliiiWakuu,
Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha, na bei yake ni kama sh ngapi? Pia ningependa kujua huwa kinawekwaje na pia kama kuna side-effects zozote.
Asanteni.
Hata mimi nilitaka kukurupuka na maswali magumu. sikujua niko jukwaa la urembo ahsante kwa kunikumbusha nilipotea njia na left.Jukwaa la urembo, mtu kaja kupost kitu cha urembo, mnamshambulia,
Sasa nyie marijali kwenye jukwaa la urembo mlikuja kufata nini???
Some people bwanaaaaa.