Nataka kuwa model

Nataka kuwa model

Watu wanakuhurumia tu. Mwanangu; Elim ni mambo yote. Asikudanganye mtu kuwa elim si kitu. Hata ukifanya uasherati,ukaanza kujiuza kule instagram, huwezi kuweka picha yako ka hukusoma. Hiyo kitu utawauzia wanywa gongo tu, beer utaisikia tu.
Nakushauri, nenda shule ili hata ukifanikiwa kuupata huo umodel ukipata nafasi ya kwenda South, ujue wakikuita...
 
Duh!! Hupendi shule inawezekana ndoto zako unapenda uwe unatekenywa kila siku
 
Wazazi wanataka nisome, sipendi kusoma sipendi kuamka asubuhi sipendi kwenda shule nifanye nini ili niwe model.
SHULE ndo the master key of everything u up to in this world, nani kasema modeling doesn't require an educated person,you wont get anyway bila shule.
 
Wazazi wanataka nisome, sipendi kusoma sipendi kuamka asubuhi sipendi kwenda shule nifanye nini ili niwe model.
SHULE ndo the master key of everything u up to in this world, nani kasema modeling doesn't require an educated person,you wont get anyway bila shule
 
Yupo fala mwenzio kwetu kaishia kuzalishwa na muarabu hana mbele wala nyuma,mjinga wewe kwenda shule
 
unazifahamu mashine za kukamulia juice ya miwa? itumie ile utakuwa model kwa saizi unayo itaka ikishindikana rudia tena na tena kama wanavyo kamua miwa! apo fresh!
 
Ila kile cha asubuh unapenda... ......
 
Back
Top Bottom