bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,705
Ni kweli lakini hapa inahusokaje nyamhene..!
Ni kweli lakini hapa inahusokaje nyamhene..!
Hahahahahahaha!Eti atakuwa bidhaa!Mwaya mdogo wetu fanya hii biashara itakutoa sana,jidamke asubuhi na mapema kama mkuu alivyoshauri ukafate hizo bidhaa huko ulipoelekezwa kisa uanze kazi!Hata mchicha ulianza kama mbuyu,eehe sorry,hata mbuyu ulianza kama mchicha!Tanguliza na sala pia,bila nguvu za mungu mwenyewe hutoweza!Angalau wewe nimekuelewa vyema. Anza na hii mishe vinginevyo wewe ndo utakuwa bidhaa.