Nataka kuuza biashara yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuuza biashara yangu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by SUYA, Aug 15, 2011.

 1. S

  SUYA Senior Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naomba ushauri jinsi ya kujua value halisi ya biashara.je ni asset zilizopo.eneo ilipo biashara ,au ni faida inayopatikana kwa mwezi au mwaka.
  Aina ya biashara ni stationery .
  Na wasilisha
   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  njia rahisi ni dhamani ya Asset ulizonazo + Goodwill(eneo uliloweka biashara)
   
 3. m

  masapile New Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  unaangalia market value (realization value) ya asset zako jumlisha goodwill ndo unapata thamani ya biashara yako. sasa goodwil value yake inategemea uwezo wa business yako kutengeneza faida
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  heee! Umemaanisha goodwill eneo aliloweka biashara?
   
 5. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Taja bei inayokutosha, pamoja na eneo biashara yako ilipo ili watu wajue kama inalipa wanunue. Ukianza ku-complicate mambo hapa hutapata wateja.
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  anachokifanya cha msingi kabisa. Wewe mwenyewe akikwambia bei lazima utataka ujue thamani ya kimoja baada ya kingine.
   
 7. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mh, mkuu hii ni goodwill ninayoijua au?
   
 8. s

  saq JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  biashara ya stationery ?
  kwanini unauza?
  pm wid details...as m finding a business to do in bongo !
   
 9. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Naona mkanganyiko kdogo kwenye suala la "good will". Kwanza naomba tupewe kiswahili chake halafu pia naomba mwenye data za uhakika kuhusu maana yake amwage hapa.
   
 10. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  Acha longolongo na kutafuta data za kujibia research yako..unauza sema biashara ipo wapi, una nini na nini ndani ya hiyo biashara taja na bei sie wanunuzi ndio tutajua kwa bei unayosema inalipa kununua au hailipi..full stop.zaidi ya hapo hapa utapata siasa na lecture za economix mara utasikia depressiation value mara utasikia market intergration analysis mara utasikia coefficient of marketability and complexity in return value ..etc.ni maoni tuu.
   
 11. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  MKUU KAMA HIYO "GOODWILL" INAKUKANGANYA JE NIKIINGIA NA "ILL-WILL" SI NDIO UTAKUFA KABISA...acha bwana watu tuna "NONDO ZA KUTISHA KUNAKO UCHUMI"...ndio maana hata mkuu wa nchi alivyoulizwa "unadhani afrika na tanzania ikiwa moja wapo ya nchi za afrika yenye resources kibao kwanini haiendelei kiuchumi ?" akajibu "SIJUI.... ilhali amesoma uchumi....anyway forget that...frastrations za maisha ndo zinanisumbu....tuna dhahabu tubagawa bure mpaka mchanga na kutimua wananchi wetu ili tuwakuzie uchumi wageni..arghhhhhhh.
   
 12. S

  SUYA Senior Member

  #12
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mimi sio mchumi ila nilitaka kujua dhaman halisi ya biashara kama yangu pindi ninapotaka kuiuza maana wengi huangalia tu mali zilizoko ndani na matengenezo yaliyofanyik a.kwangu mimi nafikiri dhamani ya biashara mtaji niliowekeza. 1.kama hela niliyotumia .2.eneo ilipo biashara.3.nguvu na maarifa niliyoyumia. na mwisho kabisa faida inayopatikana
   
 13. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Kuna njia zaidi ya moja ya kuvalue thamani ya biashara yako, moja wapo ndio hiyo waliongee wengi kwamba unachukua thamani halisi ya sasa ya asset zako (Fair Market Value of the asset) unajumlisha na Goodwill. Goodwill ni muungano wa mambo mengi na hakuna njia moja maalumu ya kuitafuta, bali kuna njia zaidi ya tano. Moja wapi ni ya kuangalia faida yako kwa miaka 3, kisha tafuta average ya faida hiyo. Then zidisha na mara mbili ya faida. Hii ni simple method, na nina imani kwa stationary store huitaji moving average method au other complicated FMV methods.
   
 14. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,356
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  mwelekezeni kama mtu mnayetaka kumsaidia kuliko kumchanganya mfano anzeini naye katika kupat faida kwamba faida inapatikana baada ya mapato toa manunuzi na gharama zingine.mtaji inajumlisha mali na working capital ulio anzia. taratibu ikiwezekana atengenezewe simplified business financial staement kuliko kumpa nondo naogopa karibu mtamwambia atafute ratios
   
Loading...