Dah nimezoea sana kugoogle
Dah nimezoea sana kugoogle
Nenda nayo ucjali wanaruhusu sikuiz hila usisahau charge
Wana JF,
Mimi nimemaliza kidato cha nne Shule ya day nmefaulu vizuri nangojea post 2, ila ninao Ugonjwa wa kutokusoma bila kutumia simu yangu, nikishindwa kitu kidogo tu ninagoogle kiukweli simu imenisaidia sana, mara nyingi nilikuwa nasoma YouTube, hayo yote nilikuwa nafanya sababu nilikuwa day, sasa naenda boarding na nimepanga kwenda na simu, naombeni ushauri wenu kiukweli cjui ntaanzaje maisha ya kusoma bila simu.
Welcome my experts
sio hvyo kaka,malengo na matumizi yangu its only 4 studing,only 4stud,