em nitumie sample ya io unayosemaGood stuff. Thank you for sharing. Je kwenye masuala ya kucreate zile filters kama za Kifesa photographer wa Diamond unaweza mkuu?
Mimi nipo dar es salaam kiongozi.Uko mkoa gani nataka watu kama wewe kwenye center yangu ya mambo ya IT
Asante kiongozi ila hata ivi tu naridhika.Ungekuwa dom ningetumia ujuz wako kwa kukupa pesa ufundshe wahitaji.
Asante kifimboWazo zuri mjukuu wangu ni vizuri kushirikishana mawazo na kusaidia wengine pia
Nakupa Heko kwa hilo
Babu Kifimbo Cheza