Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,163 Reaction score 5,624 Jan 6, 2015 #21 124 Ali said: Mna kituo zenji? Click to expand... Hapana Ali hatuna kituo Zenj bado ila mkiwa ni group tunaweza kumleta mwalimu wa somo husika akafanya Training kwenye conference Hall.
124 Ali said: Mna kituo zenji? Click to expand... Hapana Ali hatuna kituo Zenj bado ila mkiwa ni group tunaweza kumleta mwalimu wa somo husika akafanya Training kwenye conference Hall.
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jan 6, 2015 #22 iamallymtambo said: Mbona kuna marafiki zangu wengi wamejifundisha kwa kutumia internet na wamekuwa Web Guru Click to expand... Cc deejaywillzz Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
iamallymtambo said: Mbona kuna marafiki zangu wengi wamejifundisha kwa kutumia internet na wamekuwa Web Guru Click to expand... Cc deejaywillzz
124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,812 Reaction score 5,526 Jan 6, 2015 #23 Stefano Mtangoo said: Hapana Ali hatuna kituo Zenj bado ila mkiwa ni group tunaweza kumleta mwalimu wa somo husika akafanya Training kwenye conference Hall. Click to expand... Hapo tunaongelea watu wangapi minima na duration?
Stefano Mtangoo said: Hapana Ali hatuna kituo Zenj bado ila mkiwa ni group tunaweza kumleta mwalimu wa somo husika akafanya Training kwenye conference Hall. Click to expand... Hapo tunaongelea watu wangapi minima na duration?
Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,163 Reaction score 5,624 Jan 6, 2015 #24 124 Ali said: Hapo tunaongelea watu wangapi minima na duration? Click to expand... Kila kozi ina duration yake. Minima ni watu watano na gharama zitakuwa posted soon ktk mtandao. Kwa sasa siruhusiwi kusema chochote kuhusu gharama
124 Ali said: Hapo tunaongelea watu wangapi minima na duration? Click to expand... Kila kozi ina duration yake. Minima ni watu watano na gharama zitakuwa posted soon ktk mtandao. Kwa sasa siruhusiwi kusema chochote kuhusu gharama
iamallymtambo Senior Member Joined Dec 25, 2014 Posts 127 Reaction score 47 Jan 6, 2015 Thread starter #25 Stefano Mtangoo said: Kila kozi ina duration yake. Minima ni watu watano na gharama zitakuwa posted soon ktk mtandao. Kwa sasa siruhusiwi kusema chochote kuhusu gharama Click to expand... Mna website ambayo naweza kupata more details about your trainingz ???
Stefano Mtangoo said: Kila kozi ina duration yake. Minima ni watu watano na gharama zitakuwa posted soon ktk mtandao. Kwa sasa siruhusiwi kusema chochote kuhusu gharama Click to expand... Mna website ambayo naweza kupata more details about your trainingz ???
Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,163 Reaction score 5,624 Jan 6, 2015 #26 Hosanna Higher Technologies - Welcome! Course Manager, tunayotumia ku manage course iko ready ila info zitakuwa full uploaded in few coming days
Hosanna Higher Technologies - Welcome! Course Manager, tunayotumia ku manage course iko ready ila info zitakuwa full uploaded in few coming days