Unaona udaktar wa mifugo rahc ee ? Ni 5-7 years Sua pale na kutibu kupo kisheria sio kila mtu tyuuLabda ukajifunze udaktari wa mifugo
Atatibu mifugo yakeUnaona udaktar wa mifugo rahc ee ? Ni 5-7 years Sua pale na kutibu kupo kisheria sio kila mtu tyuu
OK,hiyo simple sana, kama untaka kuitwa Dr kirahisi bila jasho mwone Dr Mwaka, Dr Ndodi au Dr Matunge. Hawa watakupeleka mahala unapopatikana u dokta kwa kula bata.wakuu salama? Mimi ni mwana technology Sasa natamani sana kufahamu sana mambo ya mwili wa binadamu hata kama sio deeply Ila niwe na skills kadhaa za kutibu mtu yani simply nipate basic knowledge ya udaktari, Wapi naweza patiwa mafunzo haya bila kuwa awarded na cheti yani niwe trained practically more than theoritically Sihitaji cheti mana tayari Nina fani yangu tofauti na udaktari na natambulika official, Note interest yangu ni technology ndio mana sikusoma udaktari Ila naona umuhimu wa kujua vitu basic juu ya utabibu kutokana na Mishe mishe nilizonazo
Sina haja mkuu na Tittle hio nina vigezo full vya kusoma Medicine ila hobby yangu haikuwa inshu za medical na niko tayari na title katika field yangu, Nahitaji basic knowledge ya Utabibu mtu, Najisomea pia Mtandaoni na kucheki YouTube niko poa kiasi fulani theoritically nahitaji vitendo tu sitaki ata mtu aniite dr wala sina haja kabisa na hio tittleOK,hiyo simple sana, kama untaka kuitwa Dr kirahisi bila jasho mwone Dr Mwaka, Dr Ndodi au Dr Matunge. Hawa watakupeleka mahala unapopatikana u dokta kwa kula bata.
Asante sana mkuuMkuu fungua katk hii webste chagua course ya afya unayotaka then utajisajili na kupata knwledge free kabisa Free Online Courses & Online Learning from ALISON