Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
Njoo tukimbizane na mchakamchaka wa jiwe!!Ok,nami nawaza hivo
Ila boss wangu kila leo ananiwinda aniharibie kazi am not happy
Bora nirud nyumban tu
Njoo tukimbizane na mchakamchaka wa jiwe!!Ok,nami nawaza hivo
Ila boss wangu kila leo ananiwinda aniharibie kazi am not happy
Bora nirud nyumban tu
Hahahah kiu tena?siko huko bana ila nataka kurud nyumbanWewe ndiyo mwalimu wa KIU? vijana wetu mmewapa masters sasa wanaanza undergraduate
If u smart u will understandUmeandika kihuni mno hata kama.n ku dercipt message.
Kwa maandiko haya hata kunoa utanoaje boy
Kikichukua naweza sema sio lengo languMi napenda ligi aisee, komaa mpaka uchukue hicho cheo cha boss wako, unashindwaje kizembe? Vita ni vita ndo maisha kama kurudi kufundisha Iwe kwa plan zako sio boss pasua kichwa

Tulia basi hahahahDuh future lecturer.....!
Its not about smart its about nan utaenda kumfundisha. Empty arroganceIf u smart u will understand
Sorry oohhh
OkIts not about smart its about nan utaenda kumfundisha. Empty arrogance
Rudi home nitakuwa mwenyeji wako...Tulia basi hahahah
Hahahah utaniweza?tatizo nishazoea upigaji wa huku,huko ntakuweza?kupiga kitabu kwangu si issue am more than capableRudi home nitakuwa mwenyeji wako...
Upo serikalini?Afu wabongo achen mabifu ya kipuuz
It's true mie nahitaj ushauri wa kubadil ya life either for good or bad
Kama miaka 4 ilopita nilifanya maamuzi kwa kumsikiliza boss ,but saiv najuta
Boss mpya ananiwinda hatare
Anafatilia star yangu nisipofika ofcn hata siku moja lazima nilimwe barua wakati wenzangu wanaweza maliza wiki na wanapeta tu
Inaumiza sana
Nataman either niache kazi ama nihame
So please nishaurini