Je tayari unayo website? Au kama bado unaweza ukanunua domain au ukatafuta proffessional wa kutengeneza website wakakutengenezea.
Mara nyingi wanaotengeneza uwa wanafanya kila kitu mpaka kusajili domain
Tuma email support[at]onlineprofits.co.tz (Note: [at]=@) na maelekezo ikisha utasaidiwa. Kampuni ya Online Profits ina specialize katika website kwa wafanya biashara.
Dudumizi solutions inaweza kukusajilia domain yako na kukuhostia . Tuna offer za domain za dot tz ambazo ni shilingi za kitanzania 22000 kwa mwaka na kukuhostia kutokana na ukubwa wa space unaotaka. Pia tunaweza kudesign website kutokana na mahitaji yako.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.