Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Ukishasoma hapa kantaftie mke
Ukishasoma hapa kantaftie mke
ngoja ukue kue kidogo kwanza
haha umewaza nini
Karibu kwangu
Malipo?
Hapana......ada za shule znapanda mno
Married but available karibu..
Ha ha ha
Hahahah
Wewe wa wapi tenaa
Swala la ada mkuu lowasa kashamaliza
Asa kumbe neneeeee
Hahahaahahah ww hapanaaaaa....hata kama ntakuwa nalipwa aise sikuweziiii
hahahahaaa...chizi wewe
Hahahaaaa kwa nini lol nimeokoka atiii