Kaoe uchagani hakuna gharama, ni mbege tu kwisha kazi, ukiwanunulia wazee mbege umemaliza...
asalaamu alekhum waugwana
Mwezi wa 6 naitaji kuoa mwanamke wa kizaramo nahisi huyu ni modern woman kidogo kwani kaenda shule ata idea zake sio sawa na za akina ngumbe ,chandena doza..
Hofu ni kwamba nimewahi kushuudia harusi kadhaa za kizaramo na kuna haka katabia kananikera sana sijui kapo
katabia chenyewe ni kwamba mkienda kuoa atakuja mjomba wa bibi harusi atataka hela ya koti then atakuja shangazi atakuja atataka kanga mara atatokea jirani atataka hela ya unga kifupi inakua ni kero tupu haka katabia bado kapo
Kuna blanketi la bibi, vitenge vya mashangazi, na koti la babu nk
Samahan, unauhusiano gani na @HorseArch
asalaamu alekhum waugwana
Mwezi wa 6 naitaji kuoa mwanamke wa kizaramo nahisi huyu ni modern woman kidogo kwani kaenda shule ata idea zake sio sawa na za akina ngumbe ,chandena doza..
Hofu ni kwamba nimewahi kushuudia harusi kadhaa za kizaramo na kuna haka katabia kananikera sana sijui kapo
katabia chenyewe ni kwamba mkienda kuoa atakuja mjomba wa bibi harusi atataka hela ya koti then atakuja shangazi atakuja atataka kanga mara atatokea jirani atataka hela ya unga kifupi inakua ni kero tupu haka katabia bado kapo
Ubahiri tu!!
Ubahiri tu!!
Mkuu usioe mzaramu
Mwambie miss chagga akutumienani kakudanganya? weka picha
Mkuu usioe mzaramu
Wazaramu ...wana mtizamo wa ajabu sana kuhusu maisha...hasa swala la mahusiano, ndoa na mapenzi kwa ujumla...mfano ndoa kwa ni jambo dogo sana..yaani anaweza akaolewa leo akaachika kesho akaolewa pengine tena kwa harusi kubwa tu akaachika na wanaona poa tuhIVI HUWA NI MZARAMU AU MZAA HALAMU