Katika Masha yngu nimetokea kuchukia Anasa tena sana. na kipindi hiki nimefikia umri ambao nilazima niowe...nimemaliza masomo kazi sina. nimehangaika sana..ila huu huangaika nipate chochote na ninachopata kinanitosha mimi mwenyewe binafsi. naombeni ushauri nifanyeje?
Kama unahisi uko tayari kuoa basi ndio wakati wakuoa yenyewe huo. Ila mtakula nini ndugu yangu? kama unacho kipata kinatosha kwako mwenyewe basu hakikisha utakae muoa awe na pato linalo mtosha yeye na ikibidi liwe juu zaidi ili mweze kusave angalao kitu chochote kwa ajili ya mtoto. Usichoke kutafuta kuboresha hilo pato lako na pia ongea vizuri na potential wachumba waijue hali yako ya kiuchumi.Katika Masha yngu nimetokea kuchukia Anasa tena sana. na kipindi hiki nimefikia umri ambao nilazima niowe...nimemaliza masomo kazi sina. nimehangaika sana..ila huu huangaika nipate chochote na ninachopata kinanitosha mimi mwenyewe binafsi. naombeni ushauri nifanyeje?
Hivi hili tangazo mbona huwa lina maana ndogo sana? kwa bank kama ile ilibidi wawe na tangazo lililoenda shule, ina maana watu wote kuoa lazima wawe na pesa? au mabinti waolewe sababu ya kitu fulani, nahisi watu wa marketing wanabidi waliangalie upya. ni mawazo yangu tuNalo wazo,Tembo mastercard unayo?
Hivi hili tangazo mbona huwa lina maana ndogo sana? kwa bank kama ile ilibidi wawe na tangazo lililoenda shule, ina maana watu wote kuoa lazima wawe na pesa? au mabinti waolewe sababu ya kitu fulani, nahisi watu wa marketing wanabidi waliangalie upya. ni mawazo yangu tu
Utaoaje na huna kazi?? Unatafuta matatizo wewe?? Wanawake wa raha na shida wameisha, wamebaki wa RAHA tu! Jipange sawa, sawa!
Katika Masha yngu nimetokea kuchukia Anasa tena sana. na kipindi hiki nimefikia umri ambao nilazima niowe...nimemaliza masomo kazi sina. nimehangaika sana..ila huu huangaika nipate chochote na ninachopata kinanitosha mimi mwenyewe binafsi. naombeni ushauri nifanyeje?
Hivi hili tangazo mbona huwa lina maana ndogo sana? kwa bank kama ile ilibidi wawe na tangazo lililoenda shule, ina maana watu wote kuoa lazima wawe na pesa? au mabinti waolewe sababu ya kitu fulani, nahisi watu wa marketing wanabidi waliangalie upya. ni mawazo yangu tu
Mimi niliishajiuliza mara nyingi sana hawa M Bank matangazo yao wanatengeneza wapi maana yanavutia na pia creativity ni nzuri sanamatangazo mazuri yapo bank M bana..utafikiria mara elfu ujue ana maana gani..i love them,plz crdb do something