Nataka kuoa naombeni ushauri

Nataka kuoa naombeni ushauri

Mkuu baki na wabovu wa tabia tu hao wenye guu la bia na makalio......then ukishaoa utambadilisha tabia ndani ya ndoa!
Ukifanya vice versa itaku cost,utachepuka daily!
 
yani mleta uzi umenichekeshaaaa...ebu make a choice, kipi unaona kama kitakufaa..shepu na sura au u-wife material...unajua wabaya(kama unavyosema wewe) ukiwapiga 'sop sop' (make up n all) wanakuwa wazuri ile mbayaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom