nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Mimi binafsi navutiwa na wasichana wazuri guu la bia makalio ya haja kasura kazuri, tatizo linakuja hapa wasichana wote naowapata wenye hizo sifa hawana (wife material) wananichuna mara nawafumania hivyo yaani, ila sasa hawa wasichana wenye sura mbaya ninaokutana nao wana sifa zote za (wife material).
Nabaki njia panda nifate tabia kwa watu nisiowapenda au nibaki na wabovu wa tabia.
Nabaki njia panda nifate tabia kwa watu nisiowapenda au nibaki na wabovu wa tabia.