Nataka kuoa mwanamke msomi

Umenena vyema
 
Ndio huko utapokutan na haki sawa kwa wote kwa huy msomi.. ndio huko utapokut bwaw man nusu ya chuo wamemfunua kipind boom limeisha... usisahau kutualik tu tuje kula mpunga wakisomi
 
Uamuzi mzuri
 
Tuliokwishaoa tunapita kimya
kuna mwanamke nilimtongoza kwa kua alijiona msomi akaniuliza unakiwango gani cha elimu nikamwambia sijasoma kabisa kwani nimetuma maombi ya kazi Akasema hapana ni kujua tunikamwambia katika vyeti vyako mapenz umefaulu kwa kiwango gani ? Kama hamna ujue Mapenz na elimu vitu viwili tofauti kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…