Kwa uandishi huu ww utakuwa PhD holder.Umeongea ukweli mkuu, mimi kaa niko na degree 2 au 3 siwezi kamwe oa mtu ambae hana degree, coz level yake ya kureason kaa tuseme ni wa form 4 au la 7 ni mdogo sana, itabidi kaa unataka ishi nae umurudise shuleni akapate degree, najua wengi watanipinga kwa hili lakini sio neno, huwezi kaa maisha balanced kaa tofauti ya elimu ni kubwa, na ukiona wanaume wengi ambao ni wasomi ambao wameona wake wa elimu duni huwa wengi wanataka tu kuDOMINATE wale wake zao, maana mama watoto atajiona hana elimu so anything mume anasema she cant opose, and aslo nafikiri mke ni mtu wa hata kukusaidia na maarifa, so kaa umesoma na yeye hajasoma tatizo ni kubwa.
Naunga hojaMwanaume uwe umesoma au hujasoma usithubutu kuoa mwanamke "ALIYESOMA".
Sina PHD lakini niko na degree 3, lakini asante, sioni haja kubwa ya PHD, since mimi ni CEO so i dont need a phd, phd is mostly needed by those who teach or researchKwa uandishi huu ww utakuwa PhD holder.
Asante sana mfalme wa toka babylon, thanksUmenena kweli mkuu
Haaaa where has that one came from my dear? hio imetoka wapi?hapa tunaongelea ya mume msomi anahitajika kuoa mke wa aina gani kielimu,kaa unataka tujadili ya mke musomi kuolewa na mume ambae aliishia chekechea, basi karibu leta hoja dada yanguJee mwanaume asie msomi akaoa msomi kuna shida Gani?
Dah.... mtoto akililia wembe...,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani wanaume wenzang muacheni mtoa mada msimwambie kitu muacheni!
Nilitaka tuu kujua mawazo yako kuhusiana na hilo. Haina haja ya mimi kuanzisha mada.Haaaa where has that one came from my dear? hio imetoka wapi?hapa tunaongelea ya mume msomi anahitajika kuoa mke wa aina gani kielimu,kaa unataka tujadili ya mke musomi kuolewa na mume ambae aliishia chekechea, basi karibu leta hoja dada yangu
Mwanadamu yyte kiasili ana hofu ya Mungu.How do you define msomi?
Kwann mkuu ..toa sababu iliyoshibaaMwanaume uwe umesoma au hujasoma usithubutu kuoa mwanamke "ALIYESOMA".
Hili neno baba aliwahi nidokeza, na alinipa mfano mzuri kwake kwa kumuoa mama ambaye ni darasa la saba tu, ilhali yeye amesoma hadi vyuo nje ya Tz.Mwanaume uwe umesoma au hujasoma usithubutu kuoa mwanamke "ALIYESOMA".
kwaiyo tukusaidieje?[emoji41]Iwe isiwe nataka kuoa mwanamke msomi; mwanamke anayejitambua asiyepelekwa pelekwa tu kama kondoo apelekwavyo machinjioni.
Na ikiwezekana atoke familia inayojiweza kiuchumi ili nipate msaidizi kweli kweli kama maandiko yanavyosema.
Sichukii wala sidharau wanawake ambao hawajasoma na wasiotoka familia zinazojiweza ila natafuta wa kufanana nae.
USHAURI KWA AMBAO BADO HAMJAOA
* Kama umesoma oa aliyesoma ili kuepusha malumbano. Ukioa msomi halafu wewe hujasoma utaugua ugonjwa wa "complex inferiority" dalili zake ni kujihisi amekudharau kumbe ni ugonjwa wako mwenyewe. Na ukioa mtoto wa kishua wakati mwenu hali sio nzuri asilimia kubwa utajihisi kunyanyaswa na utapoteza haki yako ya mzaliwa wa kwanza kama Hesau kisa kunde.
Asanteni.
siwezi jua hilo maana mimi ni msomi wa hali ya juu kabisa, sasa hata sina muda wa kukaa na kujadili mambo na watu ambao hawakuenda shule dada yangu, lakini sijui itakuwa aje mke ana degree 3 na mume aliishia la saba darasa, sijuiNilitaka tuu kujua mawazo yako kuhusiana na hilo. Haina haja ya mimi kuanzisha mada.
Sawa.siwezi jua hilo maana mimi ni msomi wa hali ya juu kabisa, sasa hata sina muda wa kukaa na kujadili mambo na watu ambao hawakuenda shule dada yangu, lakini sijui itakuwa aje mke ana degree 3 na mume aliishia la saba darasa, sijui