Nataka kuoa mmakonde

Nataka kuoa mmakonde

kuntakyusa

Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
46
Reaction score
12
Habari za wikiend wana jf.Kijana mwenzenu nataka niuage ukapera.Mchumba wangu ni mmakonde nachohitaji ni ushauri na tabia za hili kabila la wamakonde.
 
Hii kitu inashanganza sana. We umeshindwa kumchunguza mtu!!? Sasa kabila linahusiana vipi na tabia

||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
Maisha hayana formula ndugu usikariri,,,,,,watu hawalingani hata wawe twins kila mtu na tabia yake
 
Habari za wikiend wana jf.Kijana mwenzenu nataka niuage ukapera.Mchumba wangu ni mmakonde nachohitaji ni ushauri na tabia za hili kabila la wamakonde.

Owa mkuu utapata faida kibao kwanza utakuwa shemeji wa rais mstaafu pili kwenye mauno hapo umefika.
 
Oa mkuu huyo binti kwa kuwa ushauri unaoutemea kutoka humu asilimia kubwa hautakusaidia sana.cha msingi mkubaliane na mwenzio ktk ujenzi wa maisha yenu ya wawili.Kabila si tatizo labda kama wewe una mila na desturi tofauti na zetu tulioamua kuoa makabila tofauti na yetu.Komaa usimuache huyo mtoto mzuri wa kimakonde.
 
Hii kitu inashanganza sana. We umeshindwa kumchunguza mtu!!? Sasa kabila linahusiana vipi na tabia

||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||

ndo maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu
 
habari za wikiend wana jf.kijana mwenzenu nataka niuage ukapera.mchumba wangu ni mmakonde nachohitaji ni ushauri na tabia za hili kabila la wamakonde.

jiandae kula rost ya chamaki ambaye hajakomaa....
 
Chukua makonde wa msumbiji. Wa hapa washakuwa waswahili. Hutapata mauhondo ya kimakonde.
 
Chukua makonde wa msumbiji. Wa hapa washakuwa waswahili. Hutapata mauhondo ya kimakonde.

Nani kakwambia..?
Oa baba uwe shemeji yangu. Hatuna tatizo sie, hatuna makuu, kwa mapishi umefika, mahaba ndo usiseme.
Ujiandae kuambiwa umepewa limbwata tu, manake utapewa mahaba utachanganyikiwa, halafu mume akiwa nyumbani mwanamke hatoki nje, anashinda nae ndaniiii sasa washikaji wasipokuona huko kijiweni watatangaza umepewa limbwata.....!
Karibu Mtwara, Mtwara rahaaaaaa!
 
Wewe jichukulie mzigo cha msingi akupende na kukuheshimu utakuwa umemaliza kila kit.
 
Inategemea kama unataka mke ngono au mke housegirl au mke msaidizi/mshauri. Sikuona sifa za mke mshauri maana kuna watu wameharibikiwa baada ya kuoa maana mke hana mchango wowote kwenye mipango ya maendeleo. Yeye ngono tuuu hata mara 3 kwa siku. Looo!!!
 
Mke mshauri na msaidizi ktk maisha.
 
Mke mshauri na msaidizi ktk maisha.

We asikutishe bwana, kama umempenda oa. Hayo mengine itategemea utavyomtreat kumbuka mwanamke hamalizi malezi, weka principle zako hadharani, muelekeze unayoyataka na unavyotaka muishi, kama muelewa atakuelewa.
Pia kumbuka no one is perfect even you!
 
Back
Top Bottom