Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
Nikokwenye ndoa karibu miaka 15 sasa, na tumejaaliwa watoto 3 mpaka sasa lakini naona matamanio ya moyo wangu yanani sukuma kufanya hivyo. Nataka kuongeza mke wa pili kwakua dini yangu inani ruhusu pia uwezo wa kuwatunza ninao nakuwapa hakiyao yandoa ninao. Kiini chatatizo kipo hapa, unaanzaje kumueleza mkeo kwamba unataka kuoa mkemwengine? Kuna mbinu gani zinazo fanyika ktk kuwafanya waishi kwa amani kama mtu na dada yake? Nitafurahi nikijua mengine zaidi yahayo. Nawatakia Ja/pili njema.