Kighami
Member
- Jan 16, 2019
- 23
- 13
Wanajamvi naombeni ushauri nasaha hapa.....kuna tatizo lolote la kibiolojia kama mwanaume akioa mwanamke aliyemzidi umri??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
oa yule wa kahela ka mboga,,,Wanajamvi naombeni ushauri nasaha hapa.....kuna tatizo lolote la kibiolojia kama mwanaume akioa mwanamke aliyemzidi umri??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeolewa
Uwe na pesa basi.... Hivi hivi ni ngumu saäana Sana, Utaolewa! Trust Me
Pesa haipatikan na uzee ndo huu apa tayarUwe na pesa basi.... Hivi hivi ni ngumu saäana Sana, Utaolewa! Trust Me
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeolewa
Asprin akiniacha dunia itasimamaWewe kuja hapa kibibi cha jf. Upate mchumba wa pili, Aspirini ashakuacha
Sent using Jamii Forums mobile app