Nataka kununua TV, nawezaje kutofautisha smart TV na TV ya kawaida?

naomba kazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
253
213
Habarini wana body, nataka kununua tv, ila iwe inchi 43, napendelea sana kampuni ya LG au Samsung

Changamoto inakuja kutofautisha Kati ya smart tv na tv ya kawaida,

Naombeni kujuzwa smart tv ina nini bora na cha maana ukinganisha na tv za kawaida (HD)

KARIBUNI
 
Hongera.

Smart TV unaweza Access baadhi ya Applications ukiwa na Internet kama YouTube, Netflix, Facebook etc. Yaani ni Kama Smartphone kubwaaaa umeiweka ukutani. Size zinaanziaga inch 32. Bei kwa LG na Samsung jiandae kwa Milioni 1 kwenda juu.

Ambazo sio Smart TV.

Inaweza kua HD (720p) au FHD (1080p) au 4K. Kwa Matumizi ya kawaida HD inatosha ingawa FHD itakua poa zaidi.

Kwa Samsung au LG size 43” bei zitaanzia Laki 7.5 kuendelea.

Huna haja ya kununua Smart TV. Kwanza ili uofaidi unahitaji Internet muda wote. Otherwise inakua kama TV ya kawaida. Au unaweza nunua TV ya kawaida hafu ukanunua Android TV zipo hadi za laki 1 unaigeuza TV ya kawaida kua Smart.
 
Hongera.

Smart TV unaweza Access baadhi ya Applications ukiwa na Internet kama YouTube, Netflix, Facebook etc. Yaani ni Kama Smartphone kubwaaaa umeiweka ukutani. Size zinaanziaga inch 32. Bei kwa LG na Samsung jiandae kwa Milioni 1 kwenda juu...
Nimekuelewa mjombaaa
 
Asante sana mkuu, nimekuelewa mno ngoja nifanye maamuzi
 
Hongera.

Smart TV unaweza Access baadhi ya Applications ukiwa na Internet kama YouTube, Netflix, Facebook etc. Yaani ni Kama Smartphone kubwaaaa umeiweka ukutani. Size zinaanziaga inch 32. Bei kwa LG na Samsung jiandae kwa Milioni 1 kwenda juu..
Makubwa! Kweli dunia ipo mbali! Asante kwa kunijuza
 
Habarini wana body, nataka kununua tv, ila iwe inchi 43, napendelea sana kampuni ya LG au Samsung

Changamoto inakuja kutofautisha Kati ya smart tv na tv ya kawaida,

Naombeni kujuzwa smart tv ina nini bora na cha maana ukinganisha na tv za kawaida (HD)

KARIBUNI

Nunua samsung serial 7
 
Smart TV UHD 4k ni TV yenye ubora zaidi na yakisasa saidi inakuwezesha uunganisha Internet ya simu yako na TV na ukaweza Ku access YouTube, Facebook na Apps mbalimbali pia resolution yake ni clear zaidi ukilinganisha na HD za kawaida.

Ushauri: nunua kitu bora usijali gharamu mambo yanaenda mbele kuwa wakisasa zaidi achana na mambo yaliyopitwa .
 
Habarini wana body, nataka kununua tv, ila iwe inchi 43, napendelea sana kampuni ya LG au Samsung

Changamoto inakuja kutofautisha Kati ya smart tv na tv ya kawaida,

Naombeni kujuzwa smart tv ina nini bora na cha maana ukinganisha na tv za kawaida (HD)

KARIBUNI
Ina wireless adapter na ethernet connector. Kwa minajili hiyo ina uwezo wa ku access internet na kustore apps kama ilivyo simu. Other features ni DLNA ama Bluetooth kimsingi ni latest technologies ziko katika smart tv!

Tofauti kubwa ni uwezo wa kupata internet connection and technologies ambapo traditional tv haina hizo sifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom