antipas mtoshu
Member
- Jan 10, 2013
- 18
- 1
Jamani wana JamiiForums naomba mnipe specifications za TV flat screen 32 aina yoyote nzuri bei kuanzia Tsh. 600,000 hadi 700,000..
Nipo jijini Arusha.
Nipo jijini Arusha.
Umepata tv?THE BOSS, jambo la muhimu hasa ni specifications na hiyo price range... kama zipo nitaamua sasa
Tv inch32 zinaanzia LCD 660,000. Led 700,000, 750,000. 780,000
THE BOSS, jambo la muhdimu hasa ni specifications na hiyo price range... kama zipo nitaamua sasa
Bei za wapi hizi? Na huyu jamaa mwenyewe sijui anaishi wapi? Mbona huku kwetu LG ya size hiyo kwa 600,000/= unapata! ZEG ya 34" unapata kwa 600,000/=
Kwako ndo wapi kaka..? Unauliza hujui huyo mwingine anaishi wapi, na hapo hapo unatuweka katika giza kuhusu sehem unayo zitajia hizo bei... mpaka tukuulize??
WanaJF tuna mambo kweli kweli mara zingine..
utaki mtumba??
nimeashindwa kununua kingamuzi
NAUZA TV MAANA INA JAA VUMBI
[MENTION=252]masai dada leta details sasa
njoo Zanzibar