Nataka kununua shamba Rufiji

@ THE RICHARDS, swali lako haliwezi kuwa na jibu lenye msaada kutoka kwangu sababu kubwa mimi nikichimba kisima muda mrefu uliopita na wakati huo ghalama zamuchimbaji zilikuwa juu sana but siku hizi ghalama zimeshuka kutokana na wachimbaji kuwa wengi.
 
Jana nilikuambia mimi ni msukuma lakini ilikuaje nikafika Rufiji? Nikwasababu nilipelekwa na watu, hivyo hata mimi ningependa kupeleka watu wengi zaidi umoja ninguvu.
 
Mimi natafuta ekari moja kwa ajili ya ufugaji wa nguruwe naomba msaada wenu wakuu hasa kwa mtu anaefuga nguruwe maeneo hayo kwa ushauri zaidi. No 0715034565
 
Jana nilikuambia mimi ni msukuma lakini ilikuaje nikafika Rufiji? Nikwasababu nilipelekwa na watu, hivyo hata mimi ningependa kupeleka watu wengi zaidi umoja ninguvu.
Naomba unisaidie gharama za kuchimba kisima.
 
Me nataka nifanye ufugaj tu. Naombeni maada wa mawazo
 
@ da'ritoh ndugu yangu kwa upande wa huku hakuna sehemu ina maji, ndiomaana wenyeji wahuku wengi wanalima mihogo, mananasi, pasion, huku inatakiwa kujipanga na kuchimba kisima, mwenyezi mungu akijalia uwezo ukachimba kisima ukapata maji ya uhakika utatengeneza pesa sana kwakuwa kuna ardhi nzuri sana.
 
@ SHAIDI, Huku rufiji waislamu ni wengi sana nasisi Watanzania tunaishi kwa kuheshimu imani za watu wengine, ningekushauri kama unataka kufuga nguruwe inakupasa upate eneo kubwa nalililo mbali na wakazi ambao ni waislamu ili kuepusha kukwazana. Mimi nimeanza kufuga nguruwe hivyo inawezekana muhimu kuzingatia hayo.
 
Asante sana







A
 
Ahsante sana mkuu nimepata elimu.
 
Upo mkoa gani tuwasiliane maana nipo rufiji na ni kijana mwenzio najua tutasaidiana nitafute kwa nmba0685659680
 
ALF
Mimi nahitaji kukodi shamba maeneo ya bungu nataka nilime matikiti, unaweza kunisaidia kujua gharama za kukodi shamba kwa heka moja ni sh ngap? eneo liwe karibu na maji au pawe rahisi kuchimba kisima
 
Mkuu nilisema hivyo kutokana na nilivyoambiwa na mmoja wa mwenyeji wangu. So kifupi kwa ulichosema yaoneshwa na mie ningekurupuka ninheishia kupigwa pia
 
Hakuna sehemu inayoitwa Rufiji, hilo ni jina la wilaya.

Wewe unataka shamba wapi hasa? Jaribu, Bungu, Mahege, Nyamisati, Kibiti, Mkongo, Kilimani, Mloka, Ikwiriri, Nyamwage, Chumbi, Muhoro, Kiwanga au Utete?
Nnaona umesahau kuitaja na Ngarambe
 
Hakuna sehemu inayoitwa Rufiji, hilo ni jina la wilaya.

Wewe unataka shamba wapi hasa? Jaribu, Bungu, Mahege, Nyamisati, Kibiti, Mkongo, Kilimani, Mloka, Ikwiriri, Nyamwage, Chumbi, Muhoro, Kiwanga au Utete?
We jamaa unapajua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…